Tuinue Mioyo - Iringo SDA Choir - Lyrics
(Tuinueni mioyo sote pamoja tuimbe wimbo, wimbo wa utukufu za sifa kwa Mungu baba
Alinena ikawa mbingu na nchi na vijazavyo, alituumba sisi kwa namna ya ajabu) x2
1.
Kazi zake ajabu mbunguni angani duniani, bahari maziwa mito milima nayo mabonde
Mungu...