Hukumu - Saints Ministers - Lyrics
Imeanzishwa hukumu mbinguni pale
Tutasimamaje pale apimapo Mungu wetu
Dhambi zetu zitafutika ama zitatuangusha
Atahukumu kila wazo na tendo ulofanya
Kibwagizo
(Tutasimamaje sote katika siku kuu ile
Ghadhabu ya Mungu itakaposhuka kwa walomuasi
Watakatifu wote...